Jana Miss Tanzania 2006 na mwigizaji wa Bongo Movie, Wema Sepetu
aliingia kwenye Headlines baada ya kutangaza kwamba anahitaji kuingia
kwenye siasa rasmi kabisa.
Post nyingine ni hii aliyoweka saa chache tu kwenye ukurasa wake @Instagram, haya ni mengine kuhusu yeye na Ubunge>>>
”Naanza kwa kusema Alhamdulillah kwa kufikia hapa nilipo na
nawashkuru sana wazazi wangu kwa kunileta duniani na kunilea katika
maadili mazuri… Nawashkuru pia kwa kunipa Elimu na kunipa chochote
nilichokitaka but more over kwa kunipa support kubwa katika uamuzi
wowote niliokuwa nimeufanya… Kwanzia kushiriki Miss Tanzania mpaka pale
nilipoamua kujiingiza katika maswala ya sanaa… Vitabu vya dini
vimeandika inapaswa tumshukuru Mungu kwa kila jambo, liwe zuri au baya…
Pale Mungu alipoamua kumchukua Daddy Sepetu wangu niliumia sana na
nikawa nimeona kama maisha yangu yalirudi nyuma kidogo, maana ilinibidi
nianze kuishi maisha ya No More Daddy Sepetu…. Maana nilikuwaga ni
kipenzi cha Daddy wangu cuz I happen to be da last born, mwenyewe
alikuwa akiniita Miss World wake…. Nakumbukaga My Late Daddy Sepetu
alishawahi kuniambia kuwa nijaribu kujiingiza katika politics since yeye
na siasa ilikuwa ni kama uji na mgonjwa… And I remember nilimwambia
,”Daddy Sepetu NO sitoweza” … Alikuwa heart broken sana maana alihisi
nikijaribu ntaweza na kilichokuja kumvunja moyo ni nilipochukua uamuzi
wa kufanya International Business na sio hata Political science au
chochote kilichohusu Siasa nilipoenda Chuo… But hakukata tamaa… Akazidi
kuniambia naweza na nilizidi kukataa… Daddy Sepetu wangu This is for u….
Leo hii nimejikuta mwenyewe nimefanya uamuzi mzito wa kujiingiza kwenye
Siasa na kuona wat it has in store for me… Najua you are looking down
on me smiling… Ila tu jua kuwa Your wife ambaye ni my Darling Mother nae
pia amechangia kiasi kikubwa sana… Nawapenda sana wazazi wangu maana
wanajua Whats Best for me… Haya sasa naingia vitani… Na sitokubali
Defeat… Tho kuna mengi yanaweza tokea… Namkabidhi Allah yote…. Na niko
tayari kwa chochote… Penye nia siku zote njia haiwezi kukosekana
Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka: BONYZA HAP CHNI