Featured

NDOA KATI YA RAY NA CHUCHU HANS....Ray 'Chuchu Hans si Mpita Njia ..Ana Sifa zote za Kuwa Mke Wangu=>



Imelda Mtema
NYOTA mkubwa katika Bongo Movies,Vincet Kigosi ‘Ray’ ameweka wazi kuwa Chuchu Hans, ambaye ni mpenzi wake wa muda mrefu, si mpita njia, bali ni mwanamke anayesubiri ndoa kwa kuwa ana sifa zote za kuwa mke.

Kwa sababu hiyo, alisema siyo jambo zuri kufikiri kila anapotoka katika mitoko yake ya usiku awe naye kwa kuwa mke hafai kuwa mtu wa kuzunguka naye usiku kama hakuna ulazima wa kufanya naye hivyo.

Kama hivi, mimi nimekuja hapa kwenye shughuli ya ZIFF, kitu hiki kinanihusu peke yangu, hakuna haja ya kumsumbua kuja naye, yule ni mke, siwezi kumtembeza pasipo ulazima wa kutufanya kuwa pamoja,” alisema
Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka: BONYZA HAP CHNI
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip KUJUA SEHEMU 12 ZINAZOMPA RAHA MWNAMKE WAKATI WA TENDO BONYZA HAP CHNI
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA ZA MAPENZI Published.. Blogger Templates
Back To Top