Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu, Wema Abraham Sepetu leo June
16 kupitia kipindi cha Ala za Roho ya Clouds FM amefunguka kuhusiana na
kuchukua fomu ya ubunge wa viti maalumu mkoani Singida pamoja na ishu ya
kutoka na boyfriend wa msanii Linah.
Akizungumza na Diva Loveness wa Ala za Roho alisema..”Sasa hivi niko
singida kwenye maandalizi ya kuchukua fomu kwasababu nagombea ubunge wa
viti maalumu mkoa wa singida, kwa hiyo nimekuja huku kuja katika
kuamasisha vijana wajitokeze kujiandikisha kwenye daktari la kupigia
kura, nimekuja kujiandikisha huku kwa sababu mama yangu ni mtu wa
singida so nimejiandikisha tayari tukutane 15 tena kuja kuchukua fomu,
kwasababu fomu zinatoka tena tarehe 14 mwezi wa saba so inshallah tuombe
uzima, kampeni zimeshaanza zile ndogo ndogo nashukuru Mungu naendelea
vizuri nahitaji support kwa jamii
Diva:“…I Know about kampeni za chini chini ambazo ulikuwa unafanya kwa
muda mrefu kwaajili ya kugombea Ubunge na umepiga picha kwa Raqay tayari
ukiwa na mavazi ya CCM si ndio kampeni pale iko pale pale au??…”
Wema:“…. Yes nimefanya so ama nilikuwa nazungumza na mangement yangu
ambayo yupo Martin kadinda na pia yuko Petiman ambaye yupo katika suala
zima la kampeni yangu so watanzania wajue tu yes nitachukua fomu ya
kugombea Ubunge wa viti maalumu ya mkoani Singida and tutaona uko mbele
itakavyokuwa kwasababu hiki ni kinyang’anyiro naingia katika ni kama
vile naingia kwenye mapambano yaani vitaani so kuna kupata na kukosa
lakini si fikiri kukosa kwasababu mtu ukifikiri kukosa unajiweka kwenye
negative side sana lakini najua kwa nguvu za watanzania na kwa nguvu za
wananchi wa Singida wataweza kuniamini na kunipa kura zao.
Katika mahojiano hayo Diva alimuuliza Wema Sepetu kuhusu ishu ya kuwa na
mahusiano na boyfriend wa Lina alisema”...Huwezi amini hizo habari si
za kweli kwasababu tulikuwa tunafanya project zinakuja ila
nimeshangashwa kuona kwanini Lina ameenda on air kwenye kipindi na
kuzungumza hizo habari kuwa natembea na boyfriend wake naomba watu
waelewe kwamba sikweli…”
Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka: BONYZA HAP CHNI