ZAIDI ya nusu ya vijana Duniani wanakumbwa na magonjwa mbalimbali
yanayotokana na maambukizi ya virusi vinavyotokana na ngono zembe.
Kwa muujibu wa utafii uliofanywa na jopo la Madaktari nchini Marekeni
umebaini kwamba, vijana wengi hususan Barani Afrika wanakumbwa na
magonjwa ya kuambukiza kutokana na tabia ya kufanya ngono zembe na
kunyonyana sehemu mbalimbali za miili yao.
Utafiti huo umebaini kwamba, vijana wengi wanapenda kuiga tabia
zinazofanywa na baadhi ya watu mbalimbali wanaoigiza muvi mbalimbali
duniani zikiwemo muvi za ngono.
Madaktari hao katika utafiti wao wamebaini kwamba, vijana wengi hupenda
kunyonyana ndimi zao,sehemu za siri,makwapani sehemu za makalio kwenye
matiti bila kujali kwamba, mwili wa binadamu unazalisha bakteria nyingi
kila kukicha na kwamba bakteria hizo, huwa sumu pale zinapoingia kwa
binadammu mwingine.
Katika hatua nyingine utafiti huo pia umebaini kwamba, kuna baadhi ya
wanawake wanapenda kunyonya ndimi za watoto wao wakati wa kuwalisha
vyakula, ama kuwabiga mabusu kila wakati bila kujali usafi wa vinywa
vyao, kiasi cha kusababishi maambukizi ya magonjwa ya ngozi kwa watoto
wao.
Kuhusu filamu hizo madakati hao walisema kwamba, watu wanaoigiza katika
picha mbalimbali wanakuwa chini uchunguzi wa watalaam wa afya, kabla na
baada ya kurekodi filamu, tofauti na watu wanavyo dhani kwamba wale
kweli ndiyo tabia yao na pengine ni watu waliokutana na kuanza
kunyonyana ovyo
Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka: BONYZA HAP CHNI