Mwigizaji Lulu Michael Jana alishindwa kuvumilia na Kumtolea Uvivu
Mrembo Husna Maulid Akitaka Amkome na Kuacha Kumuongelea, Lulu Alitoa
Meneno Makali ambayo yamefanya baadhi ya Mashabiki wake Kumshauri ...
Hawa ni Baadhi ya Mashabiki waliomshauri kupitia Instagram:
mrekebishatabia @elizabethmichaelofficial mumy! We sasahivi focus
kwa unayoyafanya...kama ni shule, kazi nk.....Haujaanza kusemwa leo na
ulinyamaza kimya maisha yakaendelea, naona unaanza kuzua majadiliano
kwenye social networks.... hapa ndo sasa unachokonoa watu kuongea mengi
na media kuandika. Fanya yako kwa bidii itasaidia kuziba yale mengine.
12
cjthefqueen @elizabethmichaelofficial ningekushauri siku nyingine
kabla hujaruhusu hasira zikucontrol mamii kaa chumbani ufikirie mangapi
mazito umepitia then pima maumivu ya yale ulopitia na maumivu ya
kusemwa na mtu mmoja halafu ukipata jibu piga goti sali na useme Asante
Mungu. ...... Chukua cm yako n listen to the song u lv the most basi
utakuwa umeepusha shirki hapo.
good_belle Huyo lulu mnamuonea buree husna ndo kaanza au hamjaona kuna smtimes mtu unachoka inabid tu hana moyo wa chuma huyuu 3
joyjovlyne_movingshop_tz Love u bby n fanya yako dear n by da way
best wishes Roho wa Mungu akutangulie n kil dem wd success
mamiii@elizabethmichaelofficial 4h
liliousbyt la mjinga au mpumbv ni kukaa kimya, kujibishn ny ni
kuonkn wote ni matahira tuuu aliponymz tk kipnd kile we all see how
class she is but nau haya jan husna kajibu vile na leo yeye atajibu hivi
and then wat next? Na we all know for other side who is guilty n not
guilty inspite of all this bull shit!! So mi naona @mrekebishatabia
ameongea point kwanza ana mitihn focus na kusoma na mitihn uvune mavuno
mazr hp bdye na si kujibishn mtandaoni 7
staystrong_lizymichael Wataongea tu ila watanyamaza coz watz
tumeumbiwa hivyo, as she said ni miaka kama miwili kavumilia matusi na
maneno yote, sometimes kusema au kuongea chochote katika yanayoendelea
kunafanya utoe dukuduku lako moyoni na maisha yanaendeleaa, kasema
kamaliza I hope hata nafsi yake iko safiiiiiiiii @mrekebishatabia
@elizabethmichaelofficial 13h
Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka: BONYZA HAP CHNI