Kumekuwa na "story" nyingi juu ya mbuzi wanaolala maeneo ya Kinondoni
makaburini,na wakati wa mchana kuzunguka huku na kule kuanzia Kinondoni
muslim,studio,mpaka maeneo ya Biafra na Morrocco(?),hawa ni mbuzi wasio
na mchungaji wala "mmiliki",huzunguka hapa na pale ktk kujitafutia
malisho ktk majalala na maeneo ya makazi ya watu.
Wenyeji wengi wa Kinondoni wanasema mbuzi hao walianza kuonekana mmoja
mmoja lkn sasa wamekuwa wengi na kuzunguka wakiwa ktk kundi.Hawachinjiki
wala kukamatika,wengine huwahusisha na "masalia" ya mbuzi wa "kafara"
ambapo watu wengi wanaoamini juu ya kafara huja nyakati za usiku ktk
maeneo ya makaburi na kutoa kafara au kuwaacha kama njia ya kutawanya
"mikosi" na "mabalaa".
Zipo habari za kikundi cha mateja kujikusanya na kuwakamata hao mbuzi na
kuwauza kwa wapika supu,kitu kilichopelekea mateja wengi kupukutika kwa
kifo na magonjwa ya hatari,na wale wanunuzi kupata mauzauza ya
ajabu..kiasi mpaka sasa,licha ya njaa za mateja,lkn huwezi kukuta teja
anawakamata na kuwauza.
Mbuzi Hawa Wanaitwa gusa unate...Je kwa wajuzi na wajanja wa
Kinondoni,kuna ukweli gani juu ya mbuzi hawa??ni nani kweli mmliki wa
hii mifugo?
Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka: BONYZA HAP CHNI
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip
KUJUA SEHEMU 12 ZINAZOMPA RAHA MWNAMKE WAKATI WA TENDO BONYZA HAP CHNI