Ukimuona
kwa macho utasema huyu ndio mwanamke kumbe ni bonge la kimeo…ilikuwa
mida ya jioni natoka zangu kazini mara ikaingia massage..baby uko wapi
nimekumiss…nikamjibu ndo natoka kazini now..yeye..Basi naomba upitie
nyumbani japo nikuone nimekumiss sana we mwanaume.
Nikaona
isiwe shida ngoja nikamuone roho yake itulie nipo njiani wazo
likanijia…Nikapitia duka moja maarufu Sinza na kumnunulia zawadi ya
viatu kama suprize nimejikoki mwenyewe naenda kwa babybaby…
mademu bwana..!
Kufika
akanipokea kwa bashasha na mabusu motomoto dady’s home..Yeye.. najua
umechoka baby wangu kaa kwa kochi upumzike nataka nikutengenezee juice
fresh unayo ipendaga..nikamwambia ngoja kwanza nikupe zawadi yako
nikatoa vile viatu na kumpatia akafurahi sana na
kuvijaribisha..vilimtosha na kumpendeza..Nikapewa busu lingine la
sekunde kazaa.,