Na Hamida Hassan
Mastaa wengi wamekuwa hawadumu kwenye ndoa zao na wengine kwenye
uhusiano wao wa kimapenzi. Ukijaribu kumuuliza kijana yeyote mwenye nia
ya kuoa atakuambia bora aoe mwanamke wa kawaida kuliko staa
Unyenyekevu
katika mapenzi unakuwa haupo, eti anajipa imani kwamba hata akiachwa
kwa kuwa anapapatikiwa na wanaume wengine kutokana na ustaa wake,
hatakosa wa kumchukua. Hiyo ni dhana potofu!
Uvivu, kupenda kulala…
Uvivu, kupenda kulala…
Baadhi ya mastaa hata wakiolewa wanashindwa kuvaa joho la ‘mke wa mtu’.
Wanapenda kukaa tu na kuletewa kila kitu nyumbani. Akicheza muvi moja na
kujulikana basi anaona dunia ndiyo yake, hakumbuki kutafuta kazi ya
uhakika.
Usiku atapenda atoke, mchana ni mtu wa kulala tu kisa kachoka. Ni mwanaume wa aina gani atakayemvumilia?

Starehe kwa sana
Mke wa mtu hata kama anastahili kustarehe siku mojamoja, lakini baadhi ya mastaa walioingia kwenye ndoa huona wao starehe lazima ichukue sehemu kubwa ya maisha yao. Atalazimisha kila siku watoke na hata kama mume atakuwa si mtu wa kuendekeza mambo hayo, yeye ataomba awe anaenda na mastaa wenzake, akikataliwa inakuwa tatizo.

Hawajitambui
Mastaa wengi wanakosa elimu ya kujitambua. Ndiyo maana wengi wanaitwa malimbukeni. Unakuta staa amepata mume mzuri tu lakini yeye anashindwa kujitambua kuwa yeye ni mke wa mtu asiyestahili kuingiza ustaa wake kwenye maisha yake ya nyumbani.

Ndoa fasheni
Jaribu kuchunguza utagundua kuwa, mastaa wengi wanaolewa kama fasheni. Utamkuta staa wa kike anasema wazi kwamba, amechangia wengi sana hivyo na yeye anataka kuchangiwa hivyo analazimisha kuolewa.
Wanaoolewa kwa sababu hiyo ni wale ambao hata ndoa zao zikivunjika hawaoni hatari, wanaona ni sawa tu kwa sababu angalau wameonja ndoa!
- See more at: http://www.mambomsetotz.com/2015/06/sababu-10-za-mastaa-wa-kike-kutodumu.html#sthash.65VlUFi2.dpufJaribu kuchunguza utagundua kuwa, mastaa wengi wanaolewa kama fasheni. Utamkuta staa wa kike anasema wazi kwamba, amechangia wengi sana hivyo na yeye anataka kuchangiwa hivyo analazimisha kuolewa.

Mkali katika tasnia ya filamu Bongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’.
Si suala la kuoa tu, hata kwenye mapenzi ya kawaida ni wachache
wanaoanzisha uhusiano na mastaa wakiwa na ndoto za kudumu kwa muda
mrefu. Ukiona kijana ‘anamsalandia’ staa ujue ni ili amuonje tu kisha
amtose.
Pia ukifuatilia utagundua kuwa, mwanamke wa kawaida akitokea kumpenda
staa wa kiume, anatafuta ile sifa ya kuwa naye lakini anajua hawezi
kudumu naye.Kutokana na hilo sasa, makala haya yanajaribu kukupa kwa
ufupi sababu 10 ambazo zinawafanya mastaa wengi wa kike kutodumu kwenye
ndoa.
Tamaa
Hili lipo sana kwa mastaa wa kike. Baadhi yao wana tamaa ya kuwa na maisha f’lani ili waonekane nao wamo wakati uwezo haupo. Matokeo yake sasa akiolewa na mwanaume ambaye hana kitu, akimpata wa pembeni ‘pedeshee’ wa kumtunza, kwa tamaa zao hujikuta wakisaliti.

Unakuta msichana kwa kuwa ni staa, anataka awe na gari zuri, abadili
nguo kila siku, simu kali na vitu vingine vya thamani wakati pesa hana
na mume naye ni kapuku. Hapo ndipo wengi huamua kuchepuka na matokeo
yake sasa hajali tena ndoa.
Ustaa mwingi
Mastaa wengi wakishajitambua kuwa wao maarufu, basi hata kwa wapenzi wao wanaleta zile nyodo za ustaa. Wanasahau kuwa hata rais anapokuwa na mkewe humnyenyekea kama mke na mambo mengine kuendelea.
Utakuta staa anataka kuonesha ustaa wake kwa mumewe, yaani anataka mume awe chini yeye awe juu kisa tu anatikisa jiji.
- See more at: http://www.mambomsetotz.com/2015/06/sababu-10-za-mastaa-wa-kike-kutodumu.html#sthash.65VlUFi2.dpufMastaa wengi wakishajitambua kuwa wao maarufu, basi hata kwa wapenzi wao wanaleta zile nyodo za ustaa. Wanasahau kuwa hata rais anapokuwa na mkewe humnyenyekea kama mke na mambo mengine kuendelea.