Endapo utafanikiwa kumla samaki huyu mwenye gamba gumu anayekwenda kwa jina la Oyster basi utakuwa na asilimia 99 ya kuongeza nguvu za kiume ndani ya dakika 10. |
Samaki
huyu atakurudishia uwezo wako wa zamani kabla mambo hayajaanza
kukuharibikia, tena dawa hii ni salama kwa kuwa ni kama chakula tu.
Mtaalamu
wa mapishi kutoka Culinary Chamber kwa moyo mkunjufu ameamua kushare
nasi habari hii njema. Huna nguvu za kutosha kufanya tendo la ndoa?
Unakosa kabisa hamu ya kufanya tendo la ndoa? Perfomance imeshuka? "Basi
tatizo lako ni 'low T' au low testosterone," na ni tatizo kubwa kwa
wanaume wengi.
Testosterone
ni hormone inayozalishwa katika vifuko vya mbegu za uzazi wa mwanaume,
inasaidia sana sana katika kuhamasisha uwezo na msukumo wa tendo la
ndoa. Inasaidia sana pia kumaintain strong bones, muscle mass and
strength,
Testosterone
inaanza kujitengeneza na kuongezeka katika mwili wa mwaume wakati wa
adolescence na unapopevuka, na hupoteza ubora au kushuka kiwango hasa
pale unapofikia umri wa miaka 30 kwa kiwango cha asilimia 1 kila mwaka.
Kukosa
ubora au kushuka kwa kiwango kunasababishwa na stressau mzongo wa
mawazo ya maisha, mlo usio kamili, obesity na sababu nyingine.
Inaposhuka
ndio balaa inapoanza nawe kukosa hamu au kupungukiwa nguvu za tendo la
ndoa mfano uume kutosimama imara na kukosa hamu pengine hata kufanya
tendo chini ya kiwango kabisa na kusababisha kutomridhisha mwezi wako.
Oysters wana
Juu, ni hatua za kumwandaa samaki huyo
Unaonahiyo nyama baada ya kumfunua samaki huyo
Mtaalamu
anasema ukiona kinyaa wakati wa kumla, basi weka chumvi na limao kisha
umle taratibu, lakini pia unaweza kumwagia balsamic vinegar au siki
kuongeza ladha.
Dozi:
vipande viwili au vitatu vinatosha kabisa kwa dozi moja na inashauriwa
kula mara moja kila baada ya wiki moja. Kama kumla akiwa mbichi inakupa
tabu basi nunua wale wa kwenye makopo au wa kuchemsha lakini chonde
chonde usile wale wa BBQ au wa kukaanga. Baada ya kazi muulize wife
atakupa majibu!!!
Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka: BONYZA HAP CHNI