Kuwa
na Mpenzi asiyemridhisha, inaweza tokea mtu ana mtu wake lakini bado
anahisi kama hayuko sehemu sahihi hivyo mara nyingi huwa hajisikii amani
katika uhusiano, Siku za mwanzo
atajitahidi
kuvumilia ila baada ya muda uzalendo humshinda hivyo anaweza jikuta
anajiachia kwingine na njemba zinachojoa chupi na kumsokomeza dude kama
kawaida.
Kutoridhishwa huku inaweza kutokea katika Nyanja zifuatazo:
*Kiuchumi,yaani mwanaume amechacha hawezi kumhudumia mahitaji anayotaka.
*Kingono,yaani mwanamke
anashindwa kufikishwa kileleni na kumfanya afurahie mapenzi kama wengine.
*Kitabia,hii
hutokea pale mtu unapokuwa na mpenzi mwenye tabia tofauti ambazo
hazikupi furaha hivyo anaamua kuachia ngazi na kupeleka uchi wake kwa
jamaa mwingine.
Hivyo inashauriwa kuwa makini sana na mpenzi uliyenae na kumchunguza kama ni sahihi au la, ili asije akakutenda