VIONGOZI
mbalimbali wa dini nchini wameandaa maandamano kwa lengo la kumuona
Rais jakaya kikwete ili kumuomba alifanyie mabadiliko makubwa Jeshi
Polisi.
Mabadiliko
hayo ni pamoja na kubadili mawaziri wote wa mambo ya ndani, mkuu wa
jeshi hilo (IGP) na MA-CP wawili ambao wametajwa kuendesha jeshi hilo
kimtandao kinyume na taratibu za kijeshi.
Maandamano hayo yamefikiwa na Maaskofu na Mashekhe 160 wa mjini
Dodoma jana chini ya Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili, amani na haki za binadamu ya Madhehebu ya Dini Nchini Askofu William Mwamalanga.
Dodoma jana chini ya Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili, amani na haki za binadamu ya Madhehebu ya Dini Nchini Askofu William Mwamalanga.
Mwamalanga
alisema viongozi hao wamepokea taarifa ya kuuwa kwa askari polisi wanne
wa kituo cha stakishari cha jijini Dar es Salaam kwa masitikito.
“Tumepokea
taarifa ya vifo vya askari hawa kwa masikitiko, hali hii haikubaliki
kila mara vituo vimekuwa vikivamiwa na hadi sasa takriban Askari 47
wameuwawa,” alisema Mwamalanga
Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka: BONYZA HAP CHNI