Featured

unajua kwanini msanii wa bongo movie Shamsa Ford anamlea mtoto wa Nay Wa Mitego? kulikoni soma hapa zaidi==>>




Picha iliyosambaa mtandaoni ikimuonyesha staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford akiwa amembeba mtoto wa staa wa Bongo Fleva,Nay Wa Mitego, Curtis imezua maswali kwa mashabiki wao kuwa huenda mwigizaji huyo kwa sasa anamlea mtoto huyo.

Miezi ya hivi karibuni Nay Wa Mitego aliamua kumchukua mtoto wake kutoka kwa mama yake Siwema aliyekuwa akiishi jijini Mwanza baada ya kutoelewana kati yao na minong’ono ilisambaa kuwa msanii huyo anatoka kimapenzi na Shamsa Ford.

Hata hivyo wote wawili walikana kutoka kimapenzi na kwamba ni marafiki wa kawaida,Clouds Fm imezungumza na Nay kuhusu picha hiyo alisema kuwa mwigizaji huyo ni rafiki wa dada yake alienda kumtembelea na kumbeba mtoto huyo na kupiga naye picha.

‘’Siyo kweli kwamba mtoto wangu analelewa na Shamsa namlea mwenyewe na mama yangu alienda kumtembelea dada yangu akapiga picha na Curtis,’alisema Nay
Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka: BONYZA HAP CHNI
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip KUJUA SEHEMU 12 ZINAZOMPA RAHA MWNAMKE WAKATI WA TENDO BONYZA HAP CHNI
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA ZA MAPENZI Published.. Blogger Templates
Back To Top