Kadude kadooogo lakini KASUMBUFU KWELI...Kanatiaga Uvivuuu...
Kila
mtu akiulizwa anajibu kisiasa kwamba ANATUMIA lakini Mtu huyohuyo
ikipita miezi 3 unashangaa ANA MIMBA unabaki kujiuliza alikuwa
anamvalisha kwenye kidole gumba ama??
Yaani
unaweza ukakanunua VIZURI TU...Unaenda nako mpaka Gesti VIZURI
TU...Unakatoa mfukoni unakaweka Chini ya Mto pale kitandani kujiandaa na
mechi VIZURI TU lakini mwisho wa siku unajikuta UMECHAKAZA RIM...
Yaani kitendo cha kunyoosha tu mkono kutoka kona ya kitanda ulipo kwenda chini ya mto ili uivae unahisi kama vile ule mto uko Njia Panda ya Ifakara... MBALII BALAA!
Halafu inavyoonekana Wanawake Wengi hawapendi Condom ila huwa wanauliza KUZUGA TU ili na yeye aonekane ALIULIZA SWALI
"Baby una Condom?"
Ukimwambia
SINA utamuona anazuga kama kamaindi hivi halafu anajifanya anakupa
Solution,"BASI NAKUOMBA USINYUNYIZIE DDT,UMWAGILIE MAUA NJE YA BUSTANI
PLZ NIKO DANGER"..Uwe Danger umekuwa Transfoma ya Umeme!!
Ukimaliza utamsikia,"Halafu wewe sijui ukojeeeee muone vile"
MSHACHAKAZA RIM...
Shkamooni Wazee wa kwenda Na Pakti 3 na Unarudi Nazo zote 3 zikiwa INTAKTIIII Mpyaaaa...
Shikamooni wote mnaosemaga mnatumia halafu Mna Mimba miezi 2 leo...
Shkamooni na wale ambao mna sababu za Kisayansi kwelikweli
"Baby mi nikitumia Condom napata Allergy na Fungus"
MTAG BINGWA WA KUUZA MECHI UNAYEMJUA!
Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka: BONYZA HAP CHNI