Fela Kuti
Huyu alikua muanzilishi haswaa wa Afro-beat.Alikua Star wa kimataifa kutoka Nigeria aliyeenda chuo huko Los Angeles , Marekani kusomea udaktari akajikuta anaingia kwenye muziki. Kuti alifariki tarehe 3 ,August 1997 huku akiwa ni mwanaharaki mkubwa wa ukimwi na waziri wa afya wa zamani.Watu zaidi ya millioni moja walihudhuria msiba wake.
Rock Hudson
Rock alikua ni mchekeshaji wa miaka ya zamani na kifo chake cha Oct. 2, 1986 ndio kilishtua wengi kuhusu Ukimwi.Hapa ndipo rafiki yake na star mwenzake Elizabeth Taylor alipoamua kutumia maisha yake yote yaliyobaki kufanya research kuhusu ukimwi.
Freddie Mercury
Alikua mmoja kati ya waimbaji wa bendi maarufu kabisa duniani miaka ya 80 hadi 90, Queen. Mercury alikufa akiwa na miaka 45 ilikua november 24 mwaka 1991. Siku chache kabla hajafa Mercury aliamua kujitangaza kwamba ni muathirika wa ukimwi.
Arthur Ashe
Huyu alikua ni mcheza tennis maarufu sana duniani. Alipata ukimwi sio kwa njia ya kujamiiana kama unavyofikiria bali ni kwa kuchangia damu. Arthur alikufa akiwa na miaka 49, February 6 mwaka 1993.
Eric “Eazy-E” Wright
Alikua kwenye kundi la Rap lililoitwa N.W.A. ambapo alikua pamoja na Ice Cube and Dr. Dre.Waliuza mamilioni ya albums marekani hadi hapo March 26 mwaka 1995 Eazy-E alipofariki kwa Ukimwi.
Eric-Wright
Kwa Bongo uwazi wa gonjwa hili bado haujawa mkubwa na kuna baadhi ya watu maarufu wameondoka kwa gonjwa hili lakini hakuna taarifa zozote.BAKI NJIA KUU OGOPA MICHEPUKO