Mwigizaji wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’.
Stori: Musa Mateja
BAADA ya kuwa na malengo ya
kuolewa mwaka 2014, mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameibuka na
kusema imeshindikana lakini hajilaumu wala hamlaumu mtu yeyote kwa
kutotimiza suala hilo kwani anaamini Mungu ndiye anayewezesha kila kitu.
Akizungumza na paparazi
wetu hivi karibuni, Lulu alisema mwaka 2014 alikuwa na malengo mengi
likiwemo suala la ndoa lakini kwa kuwa Mungu ndiye muweza, atapanga upya
suala hilo na anaamini litakuja kutimia.
“Ndoa ni mipango ya Mungu,
huwezi kulazimisha hata siku moja, sisi wanadamu huwa tuna mipango yetu
lakini ili ifanikiwe lazima kuwe na baraka za Mungu,” alisema Lulu.
Akizidi kupiga stori na
paparazi wetu, Lulu alisema kwa mwaka huu na mwakani hawezi kuweka
malengo ya ndoa kwani bado kuna mambo yake hajayaweka sawa hivyo suala
la kuolewa ataliweka hadharani baada ya miaka miwili ijayo.
‘Lulu’ akipozi.
“Sina mpango hata kidogo
kwa mwaka huu wala mwakani labda baada ya hii miaka kupita ndiyo
ninaweza kupanga tena suala la ndoa,” alisema Lulu.
Alipotakiwa kumtaja mpenzi
aliyenaye kwa sasa, Lulu aligoma kufunguka lakini akakubali kuanika siri
za mwanaume anayetaka kuwa mumewe.
“Kwanza nahitaji mwanaume
atakayenielewa kwa kila kitu, pia awe na mapenzi ya kweli na
atakayeniangalia kama Lulu na siyo kama Elizabeth pekee. Anapaswa
kutambua na kusapoti kazi zangu za sanaa,” alisema Lulu.
Kuhusu mikakati yake ya
sanaa mwaka huu, Lulu alisema ana mpango wa kuendelea na masomo huku
akiwa pia na ‘project’ kubwa mbili ambazo anatarajia kuzifanya.
“Nina project kubwa mbili mwaka huu, muda utakapofika kila mmoja atazijua maana nitaziweka wazi,” alisema Lulu.
Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka: BONYZA HAP CHNI
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip
KUJUA SEHEMU 12 ZINAZOMPA RAHA MWNAMKE WAKATI WA TENDO BONYZA HAP CHNI