Kwa upande wa Mwengi, alisema;

Mzazi
mwenzie na Aunt Ezekiel, Moses Iyobo. STAA mkali katika anga la filamu
Bongo, Aunt Ezekiel, ameingia katika malumbano makali kupitia mtandao wa
kijamii wa Instagram na mzazi mwenzie, Moses Iyobo, Mwengi mpaka
kufikia hatua ya kuwaita watoto zao majina yasiofaa.
Chanzo makini
kabisa kinadai kuwa hapo awali kabla ya Aunt kujifungua, Mwengi alitoa
tamko kuwa kama staa huyo angejifungua basi atajifungua chura, kitu
ambacho kilimkera sana na kuahidi kuwa atafungua mdomo wake atakapozaa.
Staa
mkali katika anga la filamu Bongo, Aunt Ezekiel. Baada ya kusikia madai
hayo Amani lilimtafuta Aunt, ambapo alisema kuwa aliamua kusema hivyo
kutokana na mtoto wake kuitwa chura.
“ Hivi wewe mtu akuitie mtoto
wako chura kweli ungejisikiaje basi nami nikasema kama wangu chura wa
kwake panya ili kila mtu auguliwe,” alisema Aunt.
“ Siwezi kumuita
mtoto wa mwanamke mwenzangu hivyo hata siku moja kama kuna sehemu aliona
nimeandika hivyo anioneshe maana mimi kwa sasa niko bize na mambo
yangu.”
Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka: BONYZA HAP CHNI
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip
KUJUA SEHEMU 12 ZINAZOMPA RAHA MWNAMKE WAKATI WA TENDO BONYZA HAP CHNI
Filed Under:
WASANII
on Thursday, 25 June 2015