Paul Chengula
MWANAMKE mmoja ajulikana kwa jina la Mery
Daniely, Mkazi wa mbagala jijini Dar es salaam,ameelezea jinsi alivyo
kubwa na mkasa wa kipigo kutoka kwa mume wake ambae hujihusisha udereva
wa mabasi makubwa,
Mwanamke huyo aliiambia CHENGULA NEWZ kuwa
mume huyo amekuwa akimuhisi kuwa yeye ni muhuni kwa kuchepuka wakati
akiwa safarini jambo ambalo kwake yeye hajawahi kulifanya akiwa kama
mwanandoa,
Sikuchache mbele mume huyo alirudi
nyumbani na kumkuta mkewe hayupo zaidi ya saa moja ndipo alipo hisi kuwa
mkewe amekwenda kuchepuka,mume huyo aliondoka na kurejea jion na
kumkuta mke wake akiwa ameketi akimsubiri ili wale chakula cha usiku
pamoja ndipo mume huyo akaanza kuibua mada hiyo
Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka: BONYZA HAP CHNI

