Staa wa Nasema Nao, Nasibu Abdul ‘Diamond’ akila mishikika uswahilini. Picha hiyo ambayo ilipigwa mwaka mmoja uliopita maeneo ya Tip Top, Manzese jijini Dar, imeibua mjadala mpya juzikati kwenye mitandao ya kijamii ambapo wengine walimpongeza kwa kitendo hicho wengine wakisema si cha hadhi yake.“Hii ni nzuri kwa mtu kama Diamond akila uswahilini. Anaonesha siyo mtu wa majivuno,” alichangia mdau mtandaoni huku wengine wakidai si sawa kwani anajiabisha
Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka: BONYZA HAP CHNI
Home
» WASANII
» HII PICHA YA DIAMOND AKILA MISHIKAKI MTAANI IMEKUWA GUMZO KUBWA!..SHUHUDIA UMPE MAONI YAKO INGIA HAPA=>
HII PICHA YA DIAMOND AKILA MISHIKAKI MTAANI IMEKUWA GUMZO KUBWA!..SHUHUDIA UMPE MAONI YAKO INGIA HAPA=>
CodeNirvana


