mfano katika pita pita zako na kuperuzi wall ya mpenzi wako unakutana na picha kama hii ambayo mpenzi wako bila aibu ameaua kuiweka katika wall yake na vidume kedekede vinakoment na kumsfia, je utachukua hatua gani wewe kama bwana ake, najua kwanza utaaanza kupata maswali kibao je ilikuaje wakatia anapigwa picha hyo na je nani huyo ambaye alimpiga hii picha mwanaume au mwanamke ? je utachukua uamuzi gani ebu dondosha maoni yako faster hapa chini bila kupepesa macho
Home
» MAPENZI
» JAMANI HIVI UKIMKUTA DEMU WAKO KAPIGA PICHA KAMA HII NA KUIWEKA FACEBOOK UTAMFANYAJE...?? icheki picha hapa==>
JAMANI HIVI UKIMKUTA DEMU WAKO KAPIGA PICHA KAMA HII NA KUIWEKA FACEBOOK UTAMFANYAJE...?? icheki picha hapa==>
CodeNirvana