Featured

Maajabu::Kutana na Mwanaume mwenye sehemu za siri mbili.....aeleza anavyopata shida wakati wakufanya mapenzi....bofya hapa kusoma zaidi==>

Mwanamume mmoja mwenye uume mbili, amezungumza na BBC kuhusu anavyoiishi na hali yake hio.
Anajulikana tu kama 'Triple D,' na ana umri wa miaka 25 kutoka nchini Mashariki mwa pwani ya Marekani na anadai kuwa amekuwa na uhusiano wa kimapenzi na wanawake 1,000.
Mwanamume huyu anaugua ugonjwa ujulikanao kama 'Diphallia' ambapo mwanamume anazaliwa na uume mbili.
Kulingana na shirika la kimataifa la afya,BMJ, mwanamume mmoja kati ya milioni tano, duniani huzaliwa na hali hio.
ONYO: Taarifa hii ina lugha ambayo kwa baadhio huenda ikawachukiza
"maisha yangu hayatawahi kuwa sawa tena ikiwa nitajitambulisha kwa dunia nzima, '' alisema Triple D.
Hata hivyo BBC ilikubali kubana jina lake na hata kutoonyesha sura yake.
Anasema hataki kuwa kichekesho kwa jamii hasa anakoishi.
Katika siku za uchanga wake, wazazi wake walimwambia kutokana na maumbile yake , yeye alikuwa mtoto mwenye maumbile ya kipekee.
Anakumbuka wazazi wake wakimketisha chini na kuanza kumuelezea kwamba asidhubutu kucheza mchezo wa 'kalongo' na watoto wenzake na wala asidhubutu kuvua nguo zake za ndani mbele ya watu wengine.
'Mawaidha ya wazazi'
Kutokana na mawaidha ya wazazi wake, aliweza kuweka hali yake kama siri kubwa sana, lakini alipokuwa katika shule ya upili wanafunzi wenzake waligundua siri hio na hapo anasema alipitia masaibu si haba.
''Mwanzoni, sikutaka watoto wengine shuleni kujua hali yangu kwani sikutaka kumuudhi yeyote. ''
Natamani sana wazazi wangu wangeniambia na kunitahadharisha kuwa watu huchekelea kitu wasichokielewa.
''Sikutaka wanaume wenzangu kuhisi vibaya kwamba hawana uume mbili kama mimi na kuanza kunionea kijicho, au kuanzia kunifanyia stihizai na kunichekelea kwamba mimi sio mtu wa kawaida'' alisema 'Triple D'.
Alipokua na umri wa miaka 16, alitaka kufanyiwa upasuaji na kuondolewa uume mmoja kwa sababu watu hasa wasichana walianz akunitazama sana katika sehemu yangu ya siri.
''Natamani sana wazazi wangu wangenishauri kuhusu hali yangu basi nisingeopa gata kidogo.''
Alijohiwa kwa nini ni rahisi kwake kuzungumzia hali yake wakati akiendelea kubana jina lake? Alijibu na kusema kila mahali ninapokwenda, kila mtu atanifahamu na kuwa na matarajio makubwa kwangu.
Triple D amechapisha kitabu kwa jina: ''Double Header: My Life With Two Penises'', yaani maisha yangu na uume mbili pamoja na anavyokabiliana na hali yake. Anasema sehemu zake hizo zinafanya kazi vyema na kwamba hajabahatika kuwa na uhusiano wa kimapenzi uliodumu kwa mda mrefu.
Kwake changamoto kubwa ni kununua nguo zake za ndani.
Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka: BONYZA HAP CHNI
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip KUJUA SEHEMU 12 ZINAZOMPA RAHA MWNAMKE WAKATI WA TENDO BONYZA HAP CHNI
Newer Posts Older Posts
© Copyright 2025 RAHA ZA MAPENZI | Designed By Code Nirvana Published.. Blogger Templates
Back To Top