Wanasayansi wanaamini kwamba nyama za ziada ambazao ziko kwenye hipsi za mwanamke na mtanuko wa tumbo na nyonga zake humwezesha mtoto akuwe kwa afya njema ya ubongo wa mtoto
Uchunguzi ilio fanywa na wanasayansi kutoka nchini Marekani wanadai kuwa ukubwa wa mapaja,hipsi na makalio makubwa huongeza uwezo wa akil wa mtoto atakayezaliwa.Watafiti kutoka katika chuo cha Pittsburgh wanapendekeza kuwa kiasi cha mafuta kinachotoka kutoka katika maziwa ya mama kwenda kwa mtoto huchangia kwa kiasi kikubwa uwezo na ukuaji wa akili ya mtoto tumboni
Professor Will Lassek, amabaye aliongoza utafiti anaeleza, " Mafuta yanayo patikana katika maeneo haya huchangia kwa kiasi kikubwa kwa ukuaji wa afya na akili ya mtotot.Unahitaji kiasikikubwa cha mafuta ili kutengeneza mishipa ya neva za fahanu na mafuta katika maemeo haya inakemikali muhimu inayo itwa DHA (docosahexaenoic acid)" hii ni kemikali muhimu sana kwenye ubongo wa binadamu
Hii ndo maana wanawake wa aina hii hunenepa na kupendeza sana wakati wanapokuwa na mimba.Uchunguzi wa hivi karibuni umeelezea kuwa nini wanaume pia huwapenda wasichana wenye makalio na maumbo namba nane hii ni kwa sababu wanaamini kwamba watazaa watoto wenye akili na wenye afya
Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka: BONYZA HAP CHNI