Featured

Shindano la Miss Tanzania Lafungiwa..Sababu za Kufungiwa Zipo Hapa...bofya hapa==>


Tangu atangazwe aliyekuwa Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu mengi yameongelewa kuhusiana na tetesi za udanganyifu wa umri na vitu vingine kadhaa vinavyomhusu mrembo huyo ikiwemo suala la umri wake na kiwango cha elimu yake ambapo yeye mwenyewe alikanusha taarifa hizo.

Story ikaendelea Novemba 8, 2014 siku ambayo Kamati ya Miss Tanzania ilikutana na waandishi wa habari Dar es salaam na kutangaza kwamba Sitti Mtemvu ameandika barua kwa hiari yake yeye mwenyewe, kwamba amelivua taji hilo hivyo kamati hiyo ikamtangaza Lilian Kamazima aliyekuwa mshindi wa pili kushikilia taji hilo.

Leo December 25 kuna taarifa kwamba Serikali imelifungia shindano la Miss Tanzania kwa miaka miwili kutokana na sababu mbalimbali na ukiukwaji wa taratibu walizojiwekea, ikiwemo udanganyifu mkubwa unaojitokeza kila mwaka kwenye shidano hilo.
Maamuzi hayo yamechukuliwa na BASATA, ambapo Kaimu Mtendaji wa Baraza hilo Godfrey Mngereza amesema maamuzi hayo yalifikiwa baada ya kukaa kikao cha tathmini ambapo Kamati ya Miss Tanzania ilishindwa kujibu hoja za msingi za wadau na kukiri kuwepo udhaifu katika uendeshaji wa shindano hilo.

“Baada ya kupitia maelezo yote na taarifa ya tathmini ya shindano hilo ni vyema tulisimamishe kwa muda ili mwandaaji ajipange upya, atakaporejea arejee kwa nguvu na kuandaa shindano lenye hadhi kubwa kuliko ilivyo hivi sasa…“– Mngereza.
Shindano hilo limekumbwa na kashfa mbalimbali tangu mwaka 2006 ikiwemo ya kuvisha mataji warembo wasiokidhi vigezo.
Chanzo cha Habari: Gazeti la Mtanzania, December 25
Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka: BONYZA HAP CHNI
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip KUJUA SEHEMU 12 ZINAZOMPA RAHA MWNAMKE WAKATI WA TENDO BONYZA HAP CHNI
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA ZA MAPENZI Published.. Blogger Templates
Back To Top