Featured

Mwanamke Huyu Khaaaa...Nahisi Nabambikiwa Live Live..Kaniona Zoba...soma zaidi hapa==>


Jamani naleta hili tatizo nipeni mawazo yenu,
Mwezi Novemba mwaka jana nilikutana na binti mmoja. Alitokea kunipenda ghafla lakini mimi sikuwa na mawazo hata. Nilivyoona ananisumbua na sms zisizokoma nikaamua nile mzigo ila tulitumia kinga mwanzo mpaka mwisho. Basi tukaachana hatukukutana tena mpaka leo. Mwezi huu wa tatu mwanzoni akanipigia na kuniambia ana mimba yangu. Nikashangaa, nilischofanya ni kumhoji akagoma akasema kwa vyovyote itakuwa yangu.

Nikamwambia mbona hukuniambia tangu Novemba mpaka leo ni miezi mitano, akasema alikuwa anatafuta nafasi aniambie akawa anakosa chance. Nikajua ananizuga au anataka kunibambika. Nikamwambia ok, kama ni hivyo ilee hiyo mimba utakapojifungua niko tayari tukapime DNA uwe tayari kupokea majibu, kama siyo yangu ujue ntakachokufanyia nitajua mwenyewe. 

Akasema sawa. Wiki hii amenipigia simu kuwa mimba imeharibika anataka nimpe hela kwa sababu anaumwa na anataka akasafishe. Pia anataka hela ya matumizi mara ananiambia mambo ya huko kwao. Agenda sasa imebadilika kutaka hela.

Sasa kinachonishangaza ananiambia mambo short cut, hakuna maelezo. Hivi si kashapoteza ushahidi, na mimi sitaki anavyonisumbua, nifanyeje?
Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka: BONYZA HAP CHNI
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip KUJUA SEHEMU 12 ZINAZOMPA RAHA MWNAMKE WAKATI WA TENDO BONYZA HAP CHNI
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA ZA MAPENZI Published.. Blogger Templates
Back To Top