Featured

Mtoto Aliyeushtua Ulimwengu Kwa Kuvuta Sigara 40 Kwa Siku, Ameacha... Sasa Ni Mpenzi Wa Msosi...mcheki hapa===>>>


Miaka miwili sasa imepita na kijana huyo amekuwa katika hali ya kawaida, ana miaka mitano sasa na, wakati anajaribu kuacha tabia hiyo ya kuvuta sigara, sasa amekuwa jambo lingine mpya, anapenda sana chakula.

Aldi Rizal alikuwa katika vyombo vya habari vya kimataifa wakati alipogundulika katika kijiji kimoja masikini huko Sumatra, nchini Indonesia, akivuta sigara huku akiendesha baikeli yake ya tairi tatu.

 Aldi Rizal akivuta sigara miaka miwili iliyopita.


Aldi akifakamia msosi: Baada ya kuacha sigara, sasa ni kula tu.

Kufuatia wazazi wake kuomba msaada, serikali ya Indonesia ilizindua kampeni ya kumaliza uvutaji sigara kwa watoto na ikaanzisha matibabu kwa ajili ya kumsaidia Aldi.
Aldi alichukuliwa hadi katika mji mkuu wan chi hiyo Jakarta kwa wiki mbili kwa ajili ya kumfanya asahau tabia yake ya kuvuta sigara 40 kwa siku.
Baada ya kufuatilia matibabu hayo kwa miaka miwili sasa mtoto huyo havuti tena sigara ila anapenda sana kula. 

Mama yake Diane Rizal, 28, anasema: 'Kuna watu wengi wamekuwa wakimpa sigara, lakini Aldi hapana. Anasema "Nampenda Kak Seto. Atakasirika kama nikianza kuvuta tena na nitaumwa.


Mrs Rizal sasa anahofia uzito wa mwanawe ambaye anazidi kupenda kula wakati akiacha kuvuta sigara na ana hamu ya kula kila wakati.

Mrs Rizal anasema kuwa kijana wake huyo anadai chakula kama vile alivyokuwa anadai sigara. Anasema; 'Wakati anaanza kuacha sigara alikuwa anataka sana matoi.


'Sasa simpi sigara, lakini anakula sana. Na watu wengi wanaoishi humu ndani ni ngumu kumzuia kupata chakula.'

'Lakini kinachonisikitisha ni kuwa, wamekuwa wakimsema kuwa ni kijana mvutaji. Hii inanifanya nijihisi kama wananisimanga kwa kuwa mzazi mbaya.'

Mr na Mrs Rizal wameamua kumpeleka mtoto wao kwa mtaalamu wa chakula kwa ajili ya ushauri ambapo wameambiwa kumuweka katika hali salama kiafya na anaweza kupungua uzit
Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka: BONYZA HAP CHNI
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip KUJUA SEHEMU 12 ZINAZOMPA RAHA MWNAMKE WAKATI WA TENDO BONYZA HAP CHNI
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA ZA MAPENZI Published.. Blogger Templates
Back To Top