Featured

Staa mwingine wa bongo alievuliwa nguo na Wanajeshi....mcheki hapa ni aibuuuu!!!!


Kitu kama hiki kiliwahi kumtokea mwanahiphop Young Killer miezi michache iliyopita ambapo alivuliwa nguo ya jeshi aliyokua ameivaa…. wiki kadhaa baadae ikatangazwa tena kwenye vyombo vya habari kwamba ni marufuku kwa watu wasio Wanajeshi kuvaa nguo hizo

Mwingine aliekutwa na mkasa huu ni msanii Linex akiwa Mbeya ambapo imefahamika  Wanajeshi walilazimika kuichukua suruali ya jeshi tukio lililomfanya ahojiwe na Soudy Brown leo na kujibu >>>nilikua nimevaa kama zinataka kufanana na nguo za jeshi, zinataka kufanana kwa mbali lakini sio nguo ya jeshi
Kwenye sentensi nyingine Linex akasema >>> ‘sikutaka kuwa mtata jamaa walikuja wakasema ile ni nguo yao nikaingia kwenye gari iliyokua imenipeleka Airport pale nikavua nikawapa sababu lazima niliheshimu jeshi la nchi yangu

Linex

Big up kwa Wanajeshi waliofanya vile labda mimi ndio nilitakiwa kuwa mfano kwa watu wengine wanaozivaa mtaani, kwa ushauri tu ni kwamba Wanajeshi wapite kwenye maduka pia yanayouza nguo zinazofanana na nguo zao wachukue’ – Linex
Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka: BONYZA HAP CHNI
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip KUJUA SEHEMU 12 ZINAZOMPA RAHA MWNAMKE WAKATI WA TENDO BONYZA HAP CHNI
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA ZA MAPENZI Published.. Blogger Templates
Back To Top