Featured

Oscar Pistorius na Reeva Steenkamp hawakuwahi kufanya mapenzi – asema Mama Reeva..Kwanini?? soma hapa


Oscar Pistorius na aliyekuwa mpenzi wake Reeva Steenkamp hawakuwahi kufanya mapenzi, mama yake, June Steenkamp ameandika kwenye kitabu chake

Kwenye kitabu hicho, “Reeva: a Mother’s Story”, June Steenkamp aliandika kuwa binti yake alimueleza kuwa pamoja na kwamba walilala pamoja, hawakuwahi kufanya mapenzi sababu Reeva hakutaka kuupeleka uhusiano wao katika kiwango hicho.
Pistorius alihukumiwa miaka mitano jela kwa kumuua Steenkamp bila kukusudia. Alidai alimpiga risasi kupitia mlango wa choo nyumbani kwake Pretoria, February 14, 2013, akidhania ni jambazi.

Gazeti la Sunday Times limeandika kuwa June Steenkamp ameandika kwenye kitabu chake kuwa haamini story hiyo Pistorius. “Alisema kuvuta trigger ilikuwa ajali, Nini? Mara nne ni ajali? Alisema Reeva hakupiga kelele, lakini nina uhakika alipiga kelele. Namjua binti yangu kwakuwa alikuwa na sauti sana,” ameandika kwenye kitabu hicho.

“Hakuna shaka kwenye fikira zetu kuwa kitu kibaya kilitokea, kitu kilichomuudhi Reeva kiasi cha kujificha nyuma ya mlango uliofungwa na simu mbili za mkononi.” Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka: BONYZA HAP CHNI
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip KUJUA SEHEMU 12 ZINAZOMPA RAHA MWNAMKE WAKATI WA TENDO BONYZA HAP CHNI
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA ZA MAPENZI Published.. Blogger Templates
Back To Top