Makubwa! Mwanadada asiyeishiwa matukio Bongo, Lulu Semagongo ‘Anti Lulu’ ameangusha bonge la pati huku ikihudhuriwa na mashoga kibao.
Wanaume 'tata' wakilishana keki katika sherehe ya bethidei. Pati hiyo ya kufuru ambayo ilikuwa ni ya kumbukumbu ya kuzaliwa ya kijana wa mjini aliyetajwa kwa jina moja la Abdul iliyoandaliwa na Anti Lulu ilifanyika katika Hoteli ya KB iliyopo Kijitonyama, Dar, wikiendi iliyopita ambapo ilihudhuriwa na watu mbalimbali lakini asilimia kubwa ya waalikwa walikuwa ni ‘wanaume tata’.
Aunty Lulu akikata mauno kwa raha zake. Ijumaa Wikienda lilifanikiwa kuzama ndani ‘kimafia’ ambapo lilimshuhudia Anti Lulu akikata mauno ya kufa mtu baada ya kusikia kibao kata kilichokuwepo hotelini hapo.
Wageni waalikwa wakiendelea kujiachia katika bethidei hiyo. Katika pati hiyo wanawake wengi walionekana wakiwa nusu utupu na wengine baada ya kuingia walivua nguo na kuvaa vichupi na braa kisha kuzama kwenye bwawa la kuogelea wakifuatiwa na mashoga hao waliokuwa wamevalia boksa na singlendi.
Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka: BONYZA HAP CHNI
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip
KUJUA SEHEMU 12 ZINAZOMPA RAHA MWNAMKE WAKATI WA TENDO BONYZA HAP CHNI
Filed Under:
WASANII
on Monday, 29 September 2014