Featured

HIZI NDIZO SIFA 13 ZA MWANAUME MWENYE MVUTO KWA MABINTI......soma zaidi hapa


Wanawake wengi sana hupenda Wanaume ambao kwa kimo ni Warefu kidogo, maana yake yeye awe chini. Pia awe na Mwili wa wastani, na si kitambi kikubwa (kwani wanaamini wenye vitambi uwahi kuchoka panapo Majambozi.

Mwanaume mwenye mvuto kwa mpenzi wake ni Yule mwenye sifa zifuatazo.
1.       Kwanza awe mrefu wa wastani,

2.       Mwenye sura isiyokunjamana sana

3.       Mwenye macho kama wa kusinzia/meupe pembeni mwa mboni

4.       Mwenye mwili ulio pangika vizuri (hakunakitambi) na kifua cha wastani

5.       Mwenye sauti Mzuri na Lugha yake Laini (Maneno Matamu)

6.       Mtu asiye jisikia ila mwenye kujiheshimu awapo mbele za watu

7.       Mwenye kujipenda kimavazi (awe na Mpangilio mzuri wa Mavazi) (anayejua kuvaa vizuri)

8.       Mwenye kujali (kuchukulia Tatizo la Mwanamke wake kama serious na si kudhalau)

9.       Anapenda Masihara akiwa na mwenzake (asiwe serious)

10.   Anapenda kupiga story za kijinga Wakiwa wawili (Kumchokoza, na hata kumbembeleza anapo kasirika)

11.   Anayependa kuitwa jina Lake kamili (lakini siMara kwa mara)

12.   Anayeto Zawadi (Hata kama ni ndogo Kiasi gani)

13.   Anayependa kukumbushia siku ya kwanza kukutana alijisikiaje na Kaka ukisahau yeye atakukumbusha. Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka: BONYZA HAP CHNI
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip KUJUA SEHEMU 12 ZINAZOMPA RAHA MWNAMKE WAKATI WA TENDO BONYZA HAP CHNI
Newer Posts Older Posts
© Copyright 2025 RAHA ZA MAPENZI | Designed By Code Nirvana Published.. Blogger Templates
Back To Top