Featured

Diamond amtaja muimbaji wa kike wa Tanzania anayemkubali zaidi.....soma zaidi hapa


Diamond Platnumz amemtaja Vanessa Mdee kama muimbaji anayemkubali zaidi na ambaye anaona atafika mbali zaidi.




Akiongea na Bongo5, Diamond amesema hata jukwaani, Vanessa ni msanii anayejituma sana.

“Unajua wasanii wa kike wote wa hapa nyumbani ninawakubali ila namkubali sana Vanessa. Na hata nikikutana naye huwa namwambia kuwa ‘Vanessa unanipa imani sana kuwa tuna mwanamuziki wa kike ambaye naona kabisa anabadilika kila siku na anajituma sana hata akiwa kwenye stage’. Unaona kabisa ana juhudi zaidi maana Vanessa alikuwa akiimba kizungu sana lakini kila siku zinavyoenda anabadilika na anaelewa nini anafanya sio mtu wa kujitoa fahamu,” alisema.

“Kwahiyo nina imani ipo siku tutaona msanii wa kike kutoka Tanzania anafanya vizuri. Kwahiyo Vanessa namkubali sana na nina imani atafika mbali, ni mfano mzuri sana pia na kwa wengine kujituma zaidi na kuwa wabunifu wa kazi.” Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka: BONYZA HAP CHNI
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip KUJUA SEHEMU 12 ZINAZOMPA RAHA MWNAMKE WAKATI WA TENDO BONYZA HAP CHNI
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA ZA MAPENZI Published.. Blogger Templates
Back To Top