Kwa Mujibu wa chombo kimoja cha habari inasemekana Baba Mzazi wa
Diamond, Mzee Abdul Juma Hali yake si nzuri kiafya kwani anasumbuliwa na
Ugonjwa wa miguu kiasa cha kuwa ni mtu wa kulala tu hajiwezi ..
Baba huyo wa Diamond Amedai kuwa Mtoto wake Diamond Hajawahi kumsaidia chochote kuhusu ugonjwa wake wala kwenda kumjulia hali japo alishatangaza kwenye vyombo vya habari kuwa ameshamsamehe baba yake Mzazi..
Baba huyo amemtumia ujumbe Diamond na kumwambia kuwa Asisubiri afe ndio aende kumzika anamuomba msaada sasa ili aweze kupata matibabu ya ugonjwa wa miguu unaomsumbua
Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka: BONYZA HAP CHNI