Kundi kubwa la wanaume ambao
wanashindwa kufurahia tendo la ndoa
kutokana na kuwa na uume mdogo kupita
kawaida...Wanaume walio na tatizo hili wengi
wao huwa hawana confidence ya kuingia
katikamahusiano na wasichana ama
wanawake wanao fahamiana nao kutokana na
kuogopa " siri" zao kujulikana hususani pale
uhusiano wao unapofika mwisho..Ikitokea
mwanaume akiwa katika uhusiano na
mwanamke "mcharuko" ( asiye mstaarabu )
mwanamke huyo anaweza kuanza kumvua
nguo hadharani kwa kumtangazia kwa watu
kuwa na uume mdogo . " Mwanaume utakuwa
wewe!" na lugha za namna hiyo hutawala
midomoni mwa wanawake hawo....Matokeo
yake sasa wanaume walio na tatizo hili
huamua kutokuwa na uhusiano wa kimapenzi
na wanawake wanao fahamiana nao, na badala
yake huamua kuanzisha tabia ya kuwa
wanajamiiana na wanawake wanaouza miili
yao amakujihusisha na upigaji punyeto n.k.
NINI CHANZO CHA U*UME KUWA MDOGO.
1. Kupiga Punyeto kwa muda mrefu..Hali hii
husababisha kusinyaa kwa uume na hatimaye
uume kurudi ndani.
2. Kuugua chango la uzazi.
3. Magonjwa ya utotoni.
4. Kutahiriwa mapema
5. Kurithi kutoka kwa wazazi :Wanaume
wengine wana maumbile madogo kwa sababu
wamerithi
Dalili Kuu 5 Za Mwanamke Aliyefika Kileleni Na Sio Yule Anayeigiza Ili Kumfurahisha Mwanume WAKUBWA
Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka: BONYZA HAP CHNI