Featured

NAY WA MITEGO AMWANIKA MTOTO ALIYE ZAA NA SKAINA!...WAMPA JINA KAMA LA MTOTO WA BEYONCE...KISA SOMA HAPA


Mambo hadharani! Baada ya kimya kirefu, staa wa Hip hop Bongo, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ kwa mara ya kwanza amemwanika mtoto aliyezaa na msanii wa sinema za Kibongo, Skyner Ally ‘Skaina’ na kukiri kwamba ni wa kwake.

Mtoto wa staa wa Hip hop Bongo, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ wa miaka miwili na nusu anayejulikana kwa jina la Munie.

Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Nay alisema kuwa anampenda mwanaye huyo na kwa sasa anaishi naye nyumbani kwake. Kimara-Baruti, Dar na ana umri wa miaka miwili na nusu anayejulikana kwa jina la Munie.

Mama mzazi wa Munie ambaye ni msanii wa sinema za Kibongo, Skyner Ally ‘Skaina’ akipozi.

“Nampenda sana mwanangu ndiyo maana nimeamua kumchukua kwa mama yake Skaina na kuja kumlea kwangu, analelewa vizuri sana na mama yake ambaye ni Siwema namshukuru Mungu mwanangu anaendelea kukua, nafurahia sana kukaa na mwanangu karibu tofauti na alivyokuwa kwa mama yake,” alisema Nay wa Mitego.


Nay wa Mitego’ akiwa na mwanaye.

Skaina aliwahi kukiri kuwa mwananye huyo baba yake ni Nay lakini baada ya Nay kuulizwa alichengachenga hivyo sasa ameamua kumuweka wazi. Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka: BONYZA HAP CHNI
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip KUJUA SEHEMU 12 ZINAZOMPA RAHA MWNAMKE WAKATI WA TENDO BONYZA HAP CHNI
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA ZA MAPENZI Published.. Blogger Templates
Back To Top